Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Faiza Ally: Natamani sana kuona Diamond anarudiana na Hamisa Mobetto

 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mjasiriamali Faiza Ally ameweka wazi hisia zake na kusema kuwa anatamani sana kuona msanii wa Bongo Fleva Diamond akirudiana na Hamisa Mobetto.Faiza Ally ameongea hayo baada ya kumuona mtoto wa Hamisa aliyezaa na Diamond ameenda kumtembelea Baba yake, Faiza Ally aliandika ujumbe huu:-

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments