Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Gigy Money Akili Yafunguka Baada ya Kufungiwa Kufanya Mziki 'Taratibu Naanza Kua Niliye Takiwa Kuwa Mda Mrefu'

 GigyMoney Ameandika Katika Ukurasa Wake wa Instagram;-


"Taratibu naanza kua niliye takiwa kuwa mda mrefu

🤮sina marafiki wengi

😷sijibizani tena Na watu

🤗Nainjoy upweke wa hapa Na pale

Nalidhika Na vichaache nilivyo barikiwa

🤧sibembelezi ukaribu Na mtu

👯‍♀️nawachagua wanao nichagua

🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️nikiona atuendani najitenga

💃🏻yani nainjoy hii pumzi fupi niliyobarikiwa" Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments