Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Haji Manara Atoa Mpya 'Asilimia 90 ya Marafiki Zangu Wanahitaji Niwaletee Vumbi la Congo Nikirudi Tanzania'Ameandika Manara katika Ukurasa wake wa Instagram:


"Asilimia tisini ya watu wenye namba yangu wameniagizia Vumbi la Congo,,eti wanadai lile linalouzwa Kinondoni ni feki!!!

Guys imenifikirisha kidogo kuona hadi wakina dada maarufu wamenijia inbox baada ya kujua mm nipo huku..Sio wasanii wala viongozi wa mpira,hadi baadhi ya wacheza filamu, kila mmoja anataka Vumbi....


 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Ahhh Wabongo ntabeba kilo ngapi sasa?"

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments