Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Hamisa Mobetto Amtaka Kajala Amuombe RadhiMwanamitindo na mwimbaji Hamisa Mobetto, kupitia wanasheria wake wa kampuni ya Mass Attorneys, amemtaka Kajala Masanja  amuombe radhi staa huyo kwa kumzushia uongo Jumapili ya Februari 14, 2021.

Kajala ametakiwa kufanya hivyo ndani ya saa 12 baada ya kupokea barua hiyo na kama asipotii, watamshtaki mahamakani.


Pia barua hiyo imesema, iwapo #Kajala atafuta post yake, kukanusha uzushi aliouandika na kumuomba radhi Hamisa, yatafuata mazungumzo ya kiasi anachotakiwa kumlipa mteja wao kutokana na hasara aliyomsababishia.

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Kwenye post yake ya Instagram, Kajala alimshutumu #Hamisa kuwa baada ya kumchukua bintiye Paula kwenda kula lunch, alimkutanisha na Ray Vanny ambaye alimlewesha na kumrubuni kushoot video zisizo na maadili.


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments