Harmonize: Wasanii wenzake tuondoeni zile zana za zamani eti ukiiimba Kizungu Ngoma haiwezi ku- hit

advertise here


Msanii wa bongo freva Harmonize amewapa somo wasanii wenzake kwa kuwatoa fikra potofu kuwa ukitoa ngoma ya kingereza aitafanya vizuri na kuwaambia kuwa uo ni ujinga.
Harmonize ametoa kauli hiyo kupitia ukurasa wake wa instagram ambapo ameandika hivi;

“Nina wajibu Wa Kuwashukuru Sana waanzirishi Wa Muziki Huu Ambao Leo Umekuwa Ajira Kwetu Naku Saidia Familia Zetu Nyingi Za Kimaskini Lakini Pia Wadau Na Mashabiki …!!!!

Kwaku Pambana Mpaka Tasnia Ilipofikia Hapa ….!!!! Kiukweli Haikuwa Rahisi Lakini Pia Niseme Sanaa Yetu Imekuwa Kubwa Mataifa Kibao Wana fwata Tunacho Fanya ishara Tosha Kwamba Tunapiga Bao šŸ¤™šŸ¤™ Ila Nika Kaujumbe Mfupi tuu Nadhani Ni Time Sasa Ya Kuutangaza Muziki Pamoja na Tanzania Mbali Zaidi Tumekuwa Tukiitangaza Rugha Yetu Pendwa Muda Mwingi Mno Na Kuifanya Imekuwa Rugha Maarufu Sana Africa …!!!

KISWAHILI But nadhani ni Wakati Muafaka Wa Kuutangaza Muziki Wetu Pamoja Na Nchi Yetu…!!!! Zaidi Na Njia Rahisi Ni Kuimba Muziki wa Kitanzania naku Shoot Video Tanzania Ila Wimbo Unaimba kwa Rugha Ambayo Dunia Nzima Inaelewa…..!!!!!!

Nayo ni (ENGLISH) Ndugu Wasanii Msiwe na Wasi Tuondoeni zile Zana Za Zamani Eti ukiiimba Kizungu Ngoma Haiwezi (HIT) Watanzania Wa Leo Sio Wajana Karibia Wote Wanatema (MAYAI) Mmeona Mifano Kama #BEDROOM #FALLINGINLOVE Hizi Zote ni (HIIIIT) Na Zimeimwa (ENGLISH) Japokuwa Ukitia Vineno Viwili Vitatu Vya Rugha Yetu Mama SIO MBAYA…..!!!! OK let’s Go KAKA ZANGU DADA ZANGU it’s time 4 Tanzania šŸ‡¹šŸ‡æ šŸšŸšŸšŸšŸšŸšŸšŸƒ♀️šŸƒ♀️”

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE