Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Hizi Zinaweza Kuwa Habari Njema Kwa Chris Brown Kwani Ex Wake, Karrueche Tran Ameripotiwa Kuachana na Victor Cruz


Hizi zinaweza kuwa habari njema kwa Chris Brown kwani ex wake, Karrueche Tran ameripotiwa kuachana na Victor Cruz. Wawili hao ambao wamedumu kwenye mapenzi kwa miaka 3, wameripotiwa kuachana huku kila mmoja akiendelea na maisha yake.

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

"Kwa sasa, wamejikita kwenye kukuza kazi zao." alisema ripota wa mtandao wa E! News. "Hakuna chuki kati yao, ni suala la watu wawili kuendelea na maisha yao kila mmoja kivyake."

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments