Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Hofu ni mbaya tumekuwa tunatishana sana- JPM

 “Mwaka 2000 nilipoteuliwa kuwa Waziri nikaenda Ikulu nikamuomba Mzee Mkapa, kwamba huyu Mkurugenzi wa Barabara (Kijazi) awe K/Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mzee Mkapa aliniangalia nafikiri alinishangaa, hakunipa jibu, baadaye Kijazi akateuliwa kuwa K/Mkuu alifanya kazi kubwa” Rais MAGUFULI
“Balozi Kijazi ametangulia zamu yetu sisi bado, Watanzania katika matatizo yoyote yanapotokea yatufanye tuwe wamoja, hofu ni mbaya, ukiona kitu hauwezi kukitatua wewe, mwambie Mungu ndiye muweza, tumekuwa tunatishana sana” Rais MAGUFULI

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments