Huko Ohio, Marekani, mwaka 2016 Polisi waliripoti wametumiwa picha na muarifu waliyekuwa wanamtafuta.
Jamaa anaitwa Donald Pugh (pichani), aliwatumia picha Polisi na kuwaomba wabadilishe picha waliyokuwa wameweka kwenye bango la tangazo la kutafutwa kwake kwasababu ilikua inaonekana vibaya, hivyo aliwatumia picha hiyo nzuri ili watu wasimuone kama ana sura mbaya.
Polisi walikubali ombi lake wakaweka picha aliyokua anataka na pia wakamshukuru kwa ushirikiano alioonesha na kumuomba kama ikiwezekana aende kituo cha Polisi wazungumze.
DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
2 Comments
Watu hawaushiwi vituko jamaniii
ReplyDeleteNi noma sana mbona kama mimi huyo
ReplyDelete