Huyu Hapa Mualifu Aliyewatumia Picha Polisi ili Wabadilishe Picha Waliopost Akitafutwa..Adai Polisi Waliopost ni Mbaya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Huko Ohio, Marekani, mwaka 2016 Polisi waliripoti wametumiwa picha na muarifu waliyekuwa wanamtafuta.

Jamaa anaitwa Donald Pugh (pichani), aliwatumia picha Polisi na kuwaomba wabadilishe picha waliyokuwa wameweka kwenye bango la tangazo la kutafutwa kwake kwasababu ilikua inaonekana vibaya, hivyo aliwatumia picha hiyo nzuri ili watu wasimuone kama ana sura mbaya.

Read More: 6 New Jobs From Startimes

Polisi walikubali ombi lake wakaweka picha aliyokua anataka na pia wakamshukuru kwa ushirikiano alioonesha na kumuomba kama ikiwezekana aende kituo cha Polisi wazungumze.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad