Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

"Irene Uwoya hawezi kuniacha" - King Sure

 


Bado tunaendelea na msimu wa makopa kopa kwenye mwezi wa malavidavi na kilele chake ni siku ya wapendanao Februari 14, ambapo msanii King Sure amesema anatamani angeshehereka siku hiyo na staa wa BongoMovie Irene Uwoya.

King Sure amesema anampenda sana Irene Uwoya na tayari ameshamtumia 'message' 8 za kumtongoza lakini hajajibiwa ila anaamini akiwa naye basi staa huyo hataweza kumuacha.

  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

"Nampenda sana Irene Uwoya na moyo wangu pale ndiyo umekufa, nimemtumia 'message' kama 8 za kumuelezea hisia zangu jinsi ninavyoumia moyoni, nikiwa naye naamini kabisa hawezi kuniacha na hawezi kuwa na mwanaume yeyote kwa sababu hao wengine wanampapasa tu" amesema King Sure 


Zaidi mtazame hapa chini kwenye video.


 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments