JE, Umewahi Kutapeliwa Kupitia Biashara ya Mtandaoni? Moja ya Njia ni Kulipia Bidhaa Kabla Hujaipata

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Ktokana na kukua kwa matumizi ya Mitandao ya kijamii, kumekuwa na ongezeko kubwa la matapeli wanaotumia mbinu mbalimbali kuwalaghai watumiaji wa Mtandao


Kumekuwa na biashara nyingi zinazofanyika mitandaoni lakini pia kuna wimbi kubwa la biashara za kitapeli. Kila kukicha watu wanakuja na mbinu mpya ya kutapeli wateja


Moja ya mbinu inayotumiwa na wengi ni ile ya kumtaka mteja kulipia mzigo alioagiza kabla hajaupata. Baadhi ya Wafanyabiashara hutumia mbinu hii na baadaye kutokomea kusikojulikana huku mteja akipoteza pesa yake na asipate mzigo alioutaka

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Wengine huwatapeli wateja kwa kuwatumia mzigo wenye mwonekano tofauti na kile kilichoweka Mtandaoni. Ubaya zaidi wa mbinu hii mteja hukosa uhuru wa kubadilishiwa mzigo na wauzaji wengine hukataa kurudisha pesa.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad