Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Kampuni za simu Tanzania zatozwa faini


Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezipiga faini ya  Sh38.1 bilioni kampuni sita za simu kwa kosa la kutofikia viwango vya ubora wa huduma kama ilivyoanishwa na kanuni za ubora wa huduma za mwaka 2018.


Hata hivyo,  mamlaka hiyo imezielekeza kampuni hizo kutozipeleka fedha hizo TCRA badala yake wazitumie kuwekeza kuboresha ubora wa huduma ndani ya siku 90.

 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments