Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Lulu Diva "Mimi Natafuta Pesa kwa Ajili ya Kumuuguza Mama yangu"

 


SEX lady kunako gemu ya muziki wa Bongo Fleva Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amesema kuwa ni kweli mama yake anaumwa lakini hiyo haimfanyi yeye kutojiweka vizuri.


Akizungumza na RISASI VIBES hivi karibuni, Lulu Diva alisema kuwa kuna baadhi ya watu wanataka awe mchafu eti kwa sababu tu mama yake yupo nyumbani ni mgonjwa jambo ambalo sio sawa.


“Kitu ambacho watu wengi hawakijui ni kwamba mimi natafuta pesa kwa ajili ya mama yangu, ili aweze kutibiwa vizuri, kula vizuri na kuishi sehemu nzuri, natamani siku moja mama yangu aweze kukaa na kuzungumza chochote na mimi kwa sababu sasa hivi ni mtu wa kukaa tu nyumbani, lakini hiyo hainizuii mimi kutovaa vizuri,” alisemaLulu Diva.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments