Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Magufuli : ...Hatutaweka 'lockdown', ...tunajua Mungu yupo siku zote.
Rais Magufuli wa Tanzania amesema wakati wa kuuaga mwili wa Katibu Mkuu Kiongozi marehemu John Kijazi, serikali yake haitaweka lockdown na kuongeza "Tumeshinda mwaka jana mpaka tukaigia uchumi wa kati na corona ipo... Wala hatukuweka lockdown."
Sikiliza Wimbo Hapo Chini Rosa Ree Aliyofanya na Waimbaji Undergroud, Ni Noma Diamond Ampa Big Up:

  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments