Maneno ya Idris Sultan kuhusu Sakata la Video ya Paula na Rayvanny 'Sidhani Kama Social Media Ndio ya Kulaumiwa'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Mchekeshaji Idris Sultan ameshea 'comment' yake kuhusu sakata la video za mtoto wa staa wa filamu Kajala Masanja na Producer P-Funk Majani aitwaye Paulah Kajala, ambazo zinamuonesha akim-kiss msanii mmoja wa kiume wakiwa kwenye gari.


Mchekeshaji Idris Sultan
Katika sakata hilo Idris Sultan amesema haoni sababu ya mitandao ya kijamii ndiyo iwe ya kulaumiwa kwa asilimia 100 kama kuwa chanzo cha kuwaharibu watoto bali usimamizi wa wazazi na malezi.

"Sidhani kama 'social media' ndio ya kulaumiwa asilimia 100 kwa kuharibika kwa watoto siku hizi, kuna watoto wengi wanatumia hii mitandao na kwa usimamizi mzuri wa wazazi wao na wamefanya makubwa sana wengine hadi wamekuwa inspiration kwa watu wazima. turudi kwa wahenga mtoto umleavyo" ameeleza Idris Sultan


Baada ya tukio hilo Kajala Masanja ameiomba Serikali na sheria kufuata mkondo wake kwani mtoto wake bado ni mwanafunzi na amedai msanii Hamisa Mobetto ndiyo amesababisha kwani alimchukua kwenda kula naye chakula cha mchana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad