Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mange Kimambi Achafukwa na Video ya Mtoto wa Kajala Paula Akibusiana na Rayvanny "Atakuja Kudoda "Ameandika haya katika ukurasa wake wa Instagram:

Reposted from @mangekimambi_ "Aisee mpaka nimesisimka maybe sababu nna binti ambae ni exactly same age na Paula. Doh! Nimeshindwa hata ku-repost zile video. 
.
.
Jamani huyu mtoto ni mdogo mnoooo kuanza kurekodiwa video za kipumbavu, anaharibiwa future yake. Atakuja kudoda kama dada zake mastaa na mamake.
.
.
Hivi Wema, Wolper, Kajala, Aunty, Lulu na wengineo hivi ni wanawake wa kukosa waume wa maana wakaolewa? Hapana ila ni maisha walioishi huko nyuma yana wa costi mpaka leo. 
.
.
Inabidi muangalie na nchi mnazoishi, wanaume wa kitanzania hawaoi wanawake wenye scandal hata siku moja, hata uwe mzuri kama malaika. Labda awe mariyooo anataka kulelewa ndo ataoa.  Huku tulipo sisi wanaume wanaoa hata Mastripper sio shida ila huko kwenu mwanamke lazma awe msiri mnooooo na mambo ya maboyfriend la sivyo utaishia kuwa single lady, single mother au utaishia kuoa badala ya kuolewa. 
.
.
Bora angekuwa na elimu tungesema sio lazma aje aolewe atajitegemea ila huyu mtoto kila mtu anajua elimu imemkalia kushoto basi why anaharibu na heshima yake ambayo akiitunza baadae angeolewa na mwanaume wa maana tu maana ni kazuriii sana. Ni mwanaume gani mwenye  elimu yake na maisha yake ya maana na katoka familia ya maana atakuja kumuona huyu mtoto na hizi video anazolalambana na kina Ray Vanny ziko mitandao? Mnamtengenezea huyu mtoto unungaembe mapemaaaaaaa.
.
.
Huyu mtoto anatakiwa kukazwa na vitoto vyenzie huko kimya kimya sio kubebwa na wasaniii na kurekodiwa video na kuwekwa kwenye spotlight kama mwanamke wa flani. Hizi video ni mbayaa mnooo maana ni ushahidi utakaokufata for the rest of your life.
.
.
Mtu kama Wema huwezi kumwita malaya. Nahisi wengi hata labda mshakuwa na wanaume wengi zaidi yake kilichomponza ni mavideo na mapicha, leo yuko hapo na uzuri wake hakuna mtu wa maana wa kumchumbia mwishowe ata give up na yeye atabeba kitoto akilee 😭😭. Huko ndo anapoelekea huyu Paula....

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Embu Kajala please, usimuweke huyu mtoto kwenye spotlight kama hizi, hizi video za mapenzi vitamwaribia maisha yake.Huyo mtoto ni mdogo sana kuishi maisha ya kigumegume kama haya. 
.
.
@majani187 Please mkate vichwa ray vanny why amrekodi mtoto video? Magume gume kibao mjini hayaoni why akuharibie mtoto?  "

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments