Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mashabiki wa Yanga, Kocha Kaze Amekosea Wapi? Mbona Hajapoteza Mechi Hata Moja?

 


Hainiingii akilini mashabiki wa Yanga wanaomshutumu kocha Cedric Kaze, kocha hajapoteza mechi hata moja ya mashindano. Kachukua kombe la Mapinduzi Cup anaongoza ligi lakini watu wanavyomtupia lawama utadhani Yanga ipo nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi na haina matumaini ya chochote.”


Kocha aliyeanza msimu huu na Yanga aliondoka huku timu ikiwa haijapoteza, tukajiuliza maswai mengi kwa nini ameondoka lakini sababu zilizokuwa zinatajwa ni kwamba timu inashinda lakini mashabiki wanakuwa kwenye presha.

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Kocha akaondoka kwa presha bila sababu ya msingi na inawezekana misingi aliyoijenga ndio inamsaidia leo Kaze kuendelea kutopoteza mechi.


Sasa mashabiki wanapata wapi ujasiri wa kumnyooshea vidole kocha?


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments