Mbunge afariki dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, na mbunge wa sasa wa jimbo la Muhambwe, Kigoma Atashasta Nditiye, amefariki dunia katika hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu.

 


Taarifa ya kifo chake hicho imetolewa Bungeni leo Februari 12, 2021, na Spika wa Bunge, Job Ndugai, ambapo ameeleza kuwa kifo hicho kimekuja baada ya kupata ajali siku ya Jumatano Februari 10 katika eneo la Nanenane Dodoma. 


Kufuatia kifo cha mbunge huyo, Spika Ndugai, ameahirisha shughuli za Bunge hadi kesho Jumamosi wakati itakapotolewa taarifa za taratibu za kuaga mwili na maziko.

 


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KICHWA..MBUNGE AFARIKI DUNIA BAADA YA AJALI YA GARI.

    KICHWA KISIWE NA UKAKASI.

    POLENI WAFIWA NA WOTE MLIOGUSWA NA MSIBA HUU.

    BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA. EMMEN

    ReplyDelete

Top Post Ad