Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mechi za viporo vya Simba na Namungo Februari 4


Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Almasi Kasongo amesema, wamejipanga kwa ajili ya mzunguko wa pili wa VPL utakaporejea pamoja na ushindani mkubwa uliopo wa vilabu vinavyoshiriki ligi hiyo.
Kasongo pia amesema kabla ya VPL kuendelea Februari 13, kutachezwa mechi za viporo kuanzia Februari 4 hadi 7 ambavyo vingi vimesababishwa na vilabu vinavyoshiriki mashindano ya CAF.

“Tumejipanga na tunarudi kwa kishindo kuendelea pale tulipoishia. Tutakaporudi tutacheza mechi za viporo kwa zile timu zinazoshiriki mashindano ya CAF [Simba na Namungo.], Ligi itaendelea January 13 kwa maana ya mzunguko wa 19, naamini kutakuwa na ushindani wa hali ya juu,” Kasongo.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments