Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mke wa Marehemu Nipsey Hussle Aitwaye Lauren London Adaiwa Kuwa Mjamzito


Lauren London ambaye ni mke wa marehemu Nipsey Hussle, amekanusha taarifa zilizokuwa zikisambaa kwamba ana ujauzito. Taarifa hizo zilizotolewa na gazeti kongwe liitwalo Los Angeles Sentinel juzi Februari 9.


Lauren London alitumia mistari Minne na nusu kwenye tweet yake jana (Februari 10) kukanusha taarifa hizo kwa kusema ni uzushi na uongo mtupu

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

"Niliamka na kukuta upuuzi. Uzushi, Uongo. Tena kwa mwanamke ambaye anajaribu kwa uwezo kuweza kupona?! Tafadhali acha. Mimi sio mjamzito." aliandika Lauren London ambaye ana mtoto mmoja na marehemu Nipsey huku pia akiwahi kuzaa mtoto mmoja na Lil Wayne.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments