Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mmoja Afariki Baada ya Chanjo ya CoronaMwanamke mmoja wa Virginia Marekani, Drene Keyes (58), amefariki saa kadhaa baada ya kupewa chanjo ya corona.

Mamlaka zinasema hakuna ushahidi kwamba chanjo hiyo ni chanzo cha kifo na wanaendelea kuchunguza.


Ingawa sababu rasmi ya kifo haijajulikana, Kamishna wa Afya wa Serikali, Norman Oliver amesema Keyes hakufa kutokana na athari yoyote ya mzio iliyohusishwa na chanjo.


Akizungumza na kituo cha habari cha NBC, Mkuu wa polisi wa Warsaw, Joan Kent ameeleza kuwa Drene alipokea chanjo yake ya Pfizer kwenye kliniki ambayo iko maili 80 Kaskazini mwa Newport News, huko Warsaw.

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Drene alianza kujisikia kuumwa dakika 15 baada ya kupokea chanjo ya corona na kufariki.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments