Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Msami: Nili-date na Kajala, Hatukuchorana Tattoo

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


MSANII wa muziki wa Bongo Fleva Msami amefunka baadhi ya musiano yake ambayo aliwahi kuwa mojawapo yakiwa ni Kajala na Irene Uwoya.

Msami ameeleza kuwa aliwahi kuwa kwenye mahusiano na Kajala ingawa hakutegemea lakini hawakufikia hatua ya kuanza kuchorana tatoo.

Msami ameongeza kuwa mmoja ya mtu aliyewahi kuwa naye kwenye mahusiano na litaka kumchora tatoo ingawa hakujua kama alichorwa hiyo au hakumchora ni Irene Uwoya.


 


 


”Wanaocheka umri au kipato kwenye mahusiano hao hawajui maana ya mahusiano, mimi nawapongeza sana Harmonize an Kajala nawaombea wafikie malengo yao pia mimi ni shabiki yao nayapenda mahusiano yao nataka kuona wakifika mbali zaidi.

Post a Comment

0 Comments