Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Msanii Q Chief Awalipua Wasafi Kwa Kutumia Jina Lake Tamasha la Wasafi Tumewasha Wakati Hawakuwasiliana Naye, Kuwashtaki

 

Ameandika Q Chief Kupitia Ukurasa wake wa Instagram:

Habari watanzania na industry yote ya mziki kwa ujumla.i think I need to address this issue to @diamondplatnumz @hellenkazimoto @sallam_sk na uongozi mzima wa @wcb_wasafi @tigo_tanzania nimepokea simu nyingi sana Jana mpaka today kuwa mbona sikuonekana kwenye show.as you all know mziki mimi ndo unanilisha na kuendesha mimi na familia yangu na pia niko na watu nyuma yangu (management) ambao wameniona mtu wa Ajabu sana.kwani jina langu limeonekana kwenye poster ya #tumewashanatigo na nilikuwa kama one of the performer siku ya tarehe 30/Jan #uwanjawauhuru kitu ambacho sio kweli kwani sio mimi wala management ilizungumza na uongozi wa #wasafi kuhusu show hiyo.nimejaribu kuwapigia lakini wanaleta sababu kwamba watu wamechoka kwasababu ya show.hivo basi management yangu na mimi tumetoa siku ya leo kuwa ya mwisho kupata maelezo juu ya utapeli huu kutumia jina langu kupata fans wangu na wao kujiongezea credibility. Naomba @hellenkazimoto @diamondplatnumz mu act haraka on this kwani tutakuja laumiana.sitaki matatizo na mtu napambana on my own naomba muwaeleze watanzania either video or mahandishi.alafu hatua nyingine zitafata.Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Asubuhi njema

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments