Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Msimamo wa Ligi Kuu Bara Upo Namna Hii

 


MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya Mbeya City kutoshana nguvu na Yanga kwa kufungana bao 1-1, Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Pia Biashara United ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Mwadui FC, Uwanja wa Mwadui Complex na kusepa na pointi tatu mazima.  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments