Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mtendaji Apita Nyumba Kwa Nyumba Kuchangisha Fedha za Madawati na Kutokomea Nazo


Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Nyanhwiga, Wilayani Mbogwe, David Kabalu anatuhumiwa kupita nyumba kwa nyumba kuchangisha Wananchi fedha kwa lengo la kununua madawati kisha akatoroka na fedha hizo


Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel alipokuwa akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe ameliagiza Jeshi la Polisi kumsaka na kumkamata baada ya Afisa Mtendaji huyo kutorokea kusikojulikana usiku wa manane

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe, Saidi Nkumba amesema miradi mingi inayojengwa kwa nguvu za Wananchi inakwama kutokana na 40% za fedha kutoka Serikalini kutopelekwa kwa wakati


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments