Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Nay Wa Mitego kujiweka kwa mzungu wa Harmonize

 


Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram ambao anatumia msanii Nay Wa Mitego amem-post aliyekuwa mke msanii Harmonize, Sarah Michelotti huku akiuliza kama mwanamke huyo yupo 'single' ili usitokee ugomvi kati yake na Harmonize baada ya kuwa naye.

 

"Kwahiyo ndio kusema yupo single si ndio, baadae isije ooh umemchukulia mwenzio, na Valentine hii yupo mwenyewe, wahuni tunaulizaga kwanza maana hatutaki zengwe akaja kupigwa mtu bure" ameandika Nay Wa Mitego 

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Nay Wa Mitego ameuliza hivyo baada ya kuonekana kwa picha za Harmonize na Kajala Masanja ambao wapo kwenye mahusiano mapya kwa sasa.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments