Ndege ya kijeshi yaanguka Marekani wawili wamefariki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Marubani wawili wamefariki kutokana na ajali ya ndege ya kijeshi katika jimbo la Alabama huko Marekani.

Jeshi la Anga la Marekani limetangaza kuwa ndege T38 ya Kituo cha Jeshi la Anga la Columbus huko Mississippi ilianguka karibu na Uwanja wa Ndege wa Montgomery saa 17:30 saa za Marekani.


Katika taarifa hiyo, imeelezwa kuwa marubani wawili wamepoteza maisha katika ndege hiyo ya mafunzo.


Uchunguzi juu ya ajali hiyo umeanzishwa.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad