Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Niva: Kajala huwa hadumu kwenye mahusiano, Harmonize nampa miezi tuMsanii wa Bongo movie ambaye pia ni rafiki wa @kajalafrida @niva_supermariyoo ameeleza kuwa kwa yeye anavyomjua @kajalafrida huwa hadumu kwenye mahusiano na mahusiano yao na @harmonize_tz yeye anawapa miezi tu.

Mbali na hilo @niva_supermariyoo ameeleza kuwa wasanii wa Bongo movie wana shobo sana na wasanii wa Bongo Fleva na ndio maana wao wanapost/wasapoti nyimbo zao kwenye mitandao ila huwezi kumuona msanii wa Bongo Fleva anapost movie ya msanii wa Bongo movie.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments