google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Producer Dr Dree Apata Mwanamke Mwingine Baada ya Ndoa yake Kutumbukia Nyongo..Huyu Hapa | UDAKU SPECIAL

Producer Dr Dree Apata Mwanamke Mwingine Baada ya Ndoa yake Kutumbukia Nyongo..Huyu Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 Ni kama Dr. Dre ameanzisha mahusiano na mwanamke mwingine mara baada ya ndoa yake na Nicole Young kutumbikia nyongo.

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Mtayarishaji huyo mkongwe wa muziki ameonekana akiwa karibu sana na mwanadada aitwaye Apryl Jones ambaye ni baby mama wa Omarion, ambapo jana walitoka kupata chakula cha usiku kwenye mgahawa mmoja mjini West Hollywood, hivyo kuleta uvumi kwamba wanaweza kuwa kwenye mahusiano.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad