Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Rais JPM Atengua Uteuzi wa DED Kinondoni


RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, Aron Titus Kagurumjuli. Uteuzi wake umetenguliwa Februari 16, 2021. Mkurugenzi mwingine atateuliwa baadaye.


Uamuzi wa Rais Magufuli umekuja ikiwa ni saa chache baada ya Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, akuagiza kusimamishwa na kuvunjwa sehemu ambayo imeshajengwa Coco Beach, Dar es Salaam,  na kuwataka Meya na Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni kutokuwa na tamaa ya maeneo ya umma.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments