Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Rais Magufuli Ampongeza Babu Tale 'Alipoteza Mke lakini Hakukata Tamaa'"Nampongeza sana Babu Tale, nawaomba mumpe support kwasababu Babu Tale bado Kijana na ni Mtu mwenye direction, ndio maana hapa hajaniomba vitu vingi, ameniomba Barabara na tutaishughulikia, siku nyingine ataomba kingine”

“ @Babutale wakati anajiandaa kuja kugombea alimpoteza Mke wake lakini hakukata tamaa akaja kugombea, sifahamu kama ameshaoa, kama bado Wasukuma wapo njoo uoe achana na Watani zangu Waluguru, kama mzigo mzito mpe Msukuma au Mnyamwezi wapo hapa Wasukuma”

“Hii kero ya Barabara iliyozungumzwa na Babu Tale tutaishughulikia, Tale ni Kijana ila anajiita Babu, utakosa Wanawake wewe unajiita Babu, Barabara ina Kilometres 78 ila naahidi tutaanza na Kilometa 40, hii Nchi Tajiri bwana hatuwezi kushindwa”—— Rais Magufuli akiwa Morogoro leo.

  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments