Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Rais Magufuli "Hatujazuia Matumizi ya Barakoa"

 


Rais John Magufuli amesema Serikali haijazuia matumizi ya barakoa na amewataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya #COVID19 kama wanavyoshauri wataalamu wa Afya


Amesisitiza kutumia njia za asili za kukabiliana na magonjwa ya kupumua ikiwemo ugonjwa wa #COVID19


Ameyasema hayo katika hotuba yake aliyoitoa alipokwa ameungana na waumini wa Parokia ya Mtakatifu Petro katika Misa takatifu ya Jumapili ya kwanza ya Kwaresma


Amewataka watanzania kuondoa hofu inayopandikizwa na amesisitiza kumtanguliza Mungu na amewashukuru waumini walioitikia wito wa kufunga ili Mungu aepushe ugonjwa wa #COVID19 unaomaliza watu duniani


Amesema Mungu ndiye muweza wa yote hivyo ametoa wito kwa waumini wa kikristu ambao wako kwenye mfungo wa Kwaresma na waislamu ambao wanatarajia kuingia mwezi wa mfungo


Jamii Forums

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments