AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Baada ya Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametangaza kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais, aliyefariki leo Jumatano saa 5:00 asubuhi, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam na kutanagzwa siku 7 za maombolezo, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi na kutangaza maombolezo ya siku tatu.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK