Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Rais Magufuli 'Nimeona Sehemu ya Kunyongea Wafungwa Hadi Nimeogopa'

Rais Magufuli 'Nimeona Sehemu ya Kunyongea Wafungwa Hadi Nimeogopa'

 "Kwa hiyo watu wapenda kunyongwa, nimesamehe 265 nikasema jamani mkono wangu huu nisinyonge lakini leo nimeenda Isanga nimekuta 78 wanasubiri niwanyonge kwa sababu wamefanya makosa hivi karibuni,"


 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Unaweza kujiuliza saa zingine uongozi ni msalaba na nimeona maeneo ya kunyongea mpaka nimeogopa. Hata aliyekuwa ananieleza nilikuwa nashangaa tu hivi hajanyonga kweli huyu mbona maelezo yanaenda vizuri sana lakini inatisha" - Rais Magufuli akizungumza katika uzinduzi wa makao makuu ya jeshi la Magereza, Msalato Jijini Dodoma leo Februari 4, 2021


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments