Rais Magufuli "Waziri Mpango Amelazwa Dodoma Hata Leo Asubuhi Ameniandikia Message, Amewaombea Msamaha Waliozusha Kifo Chake"

advertise here

 


Rais Dkt. @MagufuliJP amesema kuwa Waziri wa Fedha, Dkt. Philip Mpango anapatiwa matibabu jijini Dodoma na kwamba afya yake inaendelea kuimarika.

"Anafanya Mazoezi ya kifua amenitumia ujumbe huu"

Katika ujumbe wake kwa Rais Dkt. Magufuli, Dkt. Mpango amesema amewaombea msamaha wale wote waliozusha kuwa amefariki dunia.


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE