Rasmi Lulu Michael Afunga ndoa na Majizzo leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Ni 'Headlines'  za staa wa filamu hapa nchini Tanzania Elizabeth Michael maarufu kama Lulu ambaye rasmi kabisa siku ya leo Februari 16,2021 amefunga pingu za maisha na mpenzi wake wa siku nyingi Francis Ciza 'Majizzo'.

 

Kupitia picha ambazo zimepostiwa mitandaoni zimeonesha wawili hao wakila kiapo cha kufunga ndoa hiyo ambayo imefanyika  katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Gasper, Mbezi Beach Jijini Dar es Saalm.


Mahusiano ya Elizabeth Michael Lulu na Majizzo ni ya muda mrefu na walikuwa wote kwenye kipindi ambacho Lulu alikuwa na kesi ya kuua bila kukusudia na kufikia Septemba 30, 2018 Majizzo alimvalisha pete ya uchumba Lulu.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad