CHUI @rayvanny kwa mara ya kwanza ameweka wazi juu ya sifa za mwanamke ambaye anapenda kuwa nae kwenye mahusiano kupitia mahojiano na Salama Na .
"Mimi napenda sana mwanamke anayenisikiliza, haijalishi awe mzuri au mbaya . Napenda mwanamke ambaye nikimwambia usifanye hivi ananisikiliza . Pia awe anajali na awe 'baby face' " - @rayvanny
DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
0 Comments