Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Sakata la Mwanamuzi T.I na Mkewe Kuwanyanyasa Kingono Wanawake Lafikia Pabaya, Unaambiwa Sasa Wataburuzwa Mahakamani Kama R Kelly


Rapa T.I. na mkewe Tiny Harris sasa huwenda wakaburuzwa mahakamani kufuatia tuhuma za unyanyasaji wa kingono kwa wanawake, tuhuma ambazo zilitolewa na wanawake zaidi ya 25 wiki iliyopita.

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Sasa mmoja kati ya wahanga hao ameenda mbali na kumtafuta mwanasheria maarufu na hodari aitwaye Lisa Bloom kwa ajili ya kusimamia kesi hiyo dhidi ya T.I. na mkewe. Lisa ametupasha kwamba "Good Lord. So many accusers. And now I represent one of them." aliandika mwanasheria huyo ambaye anasifika kwa kushinda kesi za masuala ya unyanyasaji wa kijinsia na ukatili dhidi ya wanawake.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments