google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html SALLAM-SK achezea POVU zito kutoka kwa STEVE NYERERE baada ya kumuandikia haya | UDAKU SPECIAL

SALLAM-SK achezea POVU zito kutoka kwa STEVE NYERERE baada ya kumuandikia haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


SALLAM-SK achezea POVU zito kutoka kwa STEVE NYERERE baada ya kumuandikia haya kwenye Page yake

sallam_sk "Sijaelewa kwenye tamthilia hii umecheza kama mwehu au chizi?"

Steve Akamjibu "@sallam_sk Mimi sio mnyonge unanijua mimi ukileta mdomo nakuzabua vibao alafu nenda kokote kule sawa mimi sio wa hivo kabisa broooooo mimi nakuzaba makofi , kilicho kuleta uku nini , Mimi nakuzabua kokorochi"


VIDEO:





-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad