Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Sallam SK "Maombi yako Hatuyahitaji Yapeleke Hospitali Ukaomba Upewe Kizazi Uache Kulea Mtoto wa Kukodi"

 


Kupitia ukurasa wake wa Instagram Sallam sk ameanidka ujumbe huu hapa:-

Kuna Panya mmoja amekesha kituo cha polisi kulazimisha msanii mwenzie awekwe ndani lakini kutokana na sheria ya nchi haipo mkononi mwake, ikabidi akimbilie kwenye media kujifanya anaomba suluhu kuwa yeye anataka amani na anamuombea asipate matatizo, Huyo Panya anahangaika ili msanii mwenzie apate matatizo…. nikupe taarifa NDUGU PANYA dua zako wala maombi yako hatuyahitaji labda uyapeleke Hospital kufanikisha kizazi chako kiwe bora na uweze kulea mtoto wako binafsi na sio mtoto wa kukodi… 🐁🐁🐁🐁🐁🐁

  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments