Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Shilole Afunguka "Hakika Nitamzalia Rommy Mtoto

 


Star wa bongoFlevour pia ni mama lishe shilole amesema kua atamzalia mtoto Rommy 3D. Ikumbukwe Rommy Teyali alisha mvisha pete ya uchumba mpenzi wake shilole na hapo mashabiki wanaisubiria kwa hamu ndoa yao kama alivyo dai shilole lazima watakuja kufunga ndoa.

 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments