Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Silinde "Waliokimbia Bungeni Walikwamisha Mchakato wa Katiba Mpya, Sio CCM"


Naibu Waziri wa TAMISEMI, David Silinde amesema sio CCM iliyokwamisha mchakato wa Katiba Mpya, bali ni waliokimbia ndani ya Bunge sababu ya kukwama kwa hoja ya kutaka Serikali Tatu


Silinde ambaye awali alikuwa Kambi ya Upinzani amesema Serikali iliunda Tume ambayo ilishughulikia mchakato wa kukusanya maoni, lakini mambo yalipokuwa mazito upande wa upinzani ukaingia mitini

DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Ameongeza kuwa, Kambi ya Upinzani inatakiwa kujilaumu yenyewe na inapaswa kumuomba radhi Rais kwa kukimbia mjadala huo


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments