Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Simba na African Lyon kukipiga leo kwa MkapaIKIWA Uwanja wa Mkapa leo Simba itakaribishwa na African Lyon kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho ambao utachezwa majira ya saa 1:00 usiku.
Chini ya Kocha Mkuu, Didier Gomes unakuwa ni mchezo wake wa kwanza kwenye Kombe la Shirikisho baada ya kurithi mikoba ya Sven Vandenbroeck ambaye alitwaa taji hilo msimu uliopita. 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments