Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Steve Nyerere "Yanga ina mashabiki milioni 28 leo viongozi wanasimama kumsema mtu mmoja kweli kweli Tujitafakari sana"Ameandika Steve Nyerere:

Nimeangalia hapa press ya Timu yangu ya YANGA Nikajikuta Nasema hata sisi , Ivi leo wana Yanga kweli tunaita press kwa Ajili ya KIBEKO kweli .Yanga ni kubwa kuliko Kibeko , Nawaza kwa nini tumepoteza Viongozi wangu wamepoteza muda wa kwenda kuongea na wana habari kwa malalamiko ya Kibeko,, Wana Yanga wanataka kujua tatizo la kwanini tuna TIMU NZURI LAKINI MATOKEO MABAYA, Ya Mbinde kwa nini shida ipo wapi , Si muda wa kutazama nani anatusema vibaya , Yanga lazima isemwe vibaya kwakuwa ni klab kubwa Africa , Sasa huwezi kukataa watu wasituseme na tukitaka wanyamaze ni sisi kufanya vizuri tu hakuna kingine , Ukitaka kumnyamazisha Adui ni maendeleo tu , Sisi hatuitaji Kiki kabisa za kumsema yoyote sisi tunaitaji ushindi ndio kidonda chetu , Yanga ina mashabiki milioni 28 leo viongozi wanasimama kumsema mtu mmoja kweli kweli Tujitafakari sana Tusipoteze au kuzubaisha mashabiki wa YANGA KWA kusema tunachafuliwa jina no , Yanga haijaanza kusemwa leo na watani wa Jadi, Tusimame na ushindi vipi tunafanyaje tufike malengo basi , Nimeandika haya kama mwana Yanga Asante,

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments