Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Tabu Mitimingi "Kibenten Wangu Nimempata Kwa Elfu 30 tu"

 


MC na msanii wa filamu Tabu Mtingita ameweka wazi kuhusu mahusiano yake na mpenzi wake Lexy Gitaa ambaye amemzidi umri kwa kusema alimpata kwa shilingi Elfu 30 tu, baada ya kutaka kumtangazia biashara yake ya mapochi.


Mc Tabu Mtingita amesema yeye na mpenzi wake huyo wamedumu kwa muda wa miaka mitano na kikubwa anachomvutia ni unene alionao.


 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

"Mpenzi wangu sio maarufu na kama umaarufu ataupata kupitia mimi, tupo kwa miaka mitano na nimetambulishwa mpaka ukweni, amependea unene wangu alikuwa ananilipa Elfu 30 kwa tangazo moja, na pesa ile ilikuwa na faida kwangu kwani ndiyo imefanya nimpate" amesema Tabu Mtingita

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

1 Comments

  1. Hongera Dada Tabu, Umetisha na Ben thati. B30.
    nnacho sikitika ni yule Pyloti wa Bajaji. ndio kuchi nehii.

    Hongeleni sana wazazi watarajiwa.

    Kalibuni stendi hoteli kwa lanchi hevi.

    ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)