Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Tanzia: Aliyepiga Picha Hii ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Afariki Dunia

 


#TANZIA mwandishi wa habari mkongwe, William Mbunga, aliyepiga Picha inayoonyesha tukio la Baba Wa Taifa Hayati Mwl. JK Nyerere akichanganya Udongo kuashiria Nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar kuungana Amefariki Dunia Februari 3, 2021.


Mzee William Mbunga alifariki dunia usiku wa kuamkia jana akiwa njiani akipelekwa hospitali ya Mloganzila,


 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

William Mbunga, pia ni mmoja wa waanzilishi wa Chuo cha Uandishi wa Habari cha SJMC,


Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahala pema peponi, Amin


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments