Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Tanzia: Mbunge wa Zamani Morogoro Kusini Mashariki, Semindu Pawa amefariki Dunia

 


Mbunge wa zamani wa Morogoro Kusini Mashariki, Semindu Pawa amefariki dunia Februari 17


Pawa amewahi kushika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na hadi anakutwa na mauti alikuwa mjumbe wa baraza la wazee la CCM

  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments