Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Trey Song na Tuhuma za Kuvuja Kwa Video yake ya Ngono


Trey Songz anawashiwa moto huko twitter, ni baada ya kuonekana kwa video ya ngono ambayo inadaiwa kumuonesha mwimbaji huyo akiwa mtupu na mwanamke.


Mashabiki zake hasa watoto wa Kike wanamiminika kwenye ukurasa wake na kuzungumza yao kuhusu video hiyo huku wengi wakimponda na wengine wakimuombea heri kwa kilichotokea.

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Ni muendelezo wa matukio kwa Trey, Wiki iliyopita alikamatwa na kuachiwa na polisi mara baada ya kudaiwa kugoma kuvaa barakoa, pia kupishana kauli na polisi kwenye mchezo wa KC Chiefs.

 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments