Tulifanya vipimo vya Corona kabla ya kwenda Angola, wanapewa vidonge, wakivimeza wanapata maumivu ya kichwa – M/Kiti Namungo asimulia (+Video)

Mwenyekiti wa Namungo FC, Hassani Zidadu Kungu amesimulia sakata walilokutananalo nchini Angola na wenzao waliyobakia huko kutokana na kuzuiliwa, Gharama walizotumia kusafiria na hatma ya mechi zao za hapa Dar Es Salaam ambazo Shirikisho la soka barani Afrika CAF imewapangia michezo yote miwili dhidi ya CD 1 Agosto ya Angola. Mhe Kungu ameyasema hayo baada ya kuulizwa swali na Waandishi wa habari hii leo wakati akiingia saini ya Mkataba mpya dhidi ya wadhamini wao SportPesa.

VIDEO:
 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE