Ujauzito wa Amber Lulu bado ni kitendawili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kwa mara ya kwanza msanii wa BongoFleva Amber Lulu amejitokeza hadharani kuonesha ujauzito wake kwenye 'Baby Shower' yake iliyofanyika maeneo ya Mikocheni ambayo ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali wa kike.

Wakati yupo kwenye 'red carpet' anafanya mahojiano na waandishi wa habari, Amber Lulu amesema anafuraha sana kuelekea kuwa mama mpya mjini ila cha ajabu hamfahamu ni mwanaume gani aliyempa ujauzito huo.

"Nijasikia vizuri kwa sababu naenda kuwa mama mpya mjini na kuna vitu vingi ambavyo vimebadilika na nahitaji kuvifanya, mimi mwenyewe baba wa mtoto simjui ila yupo na sio P Funk Majani, labda msubiri nikijifungua" amesema Amber Lulu



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Natamani nami blog yangu iwe kubwa kama yenu siku moja
    Mungu anijaalie

    www.mrbunduki.com

    ReplyDelete

Top Post Ad